Tafadhali Soma hii kabla ya Kuendelea

 

Tovuti hii ya SSRA inalindwa. Kwa makusudi yoyote kusababisha uharibifu kwa kuchukua program, taarifa, kanuni au amri ni kinyume cha sheria.

 

Tovuti hii na kifaa chochote kinachousiana nayo, vipo chini ya uangalizi . Taarifa kuhusu watumiaji zinaweza kupatikana na kuwekwa  wazi kwa mtu aliyeruhusiwa, ikiwa ni pamoja na mamlaka ya kutekeleza sheria, kwa madhumuni rasmi. Upatikanaji wa au matumizi ya tovuti hii unategemea ukubali na masharti haya.

 

Ilani/Tahadhari ya Ujumla

SSRA inachukua hatua madhubuti kuhakikisha ubora wa takwimu na taarifa nyingine zinazozalishwa na SSRA ambazo zinapatikana kwenye tovuti hii.

 

Ilani/Tahadhari kuhusu taarifa zisizo za SSRA

Kwa urahisi na madhumuni ya taarifa tu, Tovuti ya SSRA inaweza kutoa viunganishi vya  tovuti nyingine. Tovuti hizo zinaweza kujumuisha habari ambazo zinamilikiwa kwa masharti ya matumizi. Ruhusa ya kutumia taarifa zilinazomilikiwa lazima zipatikane kutoka katika chanzo cha awali na haziwezi kupatikana kutoka SSRA. SSRA haitawajibika kwa maudhui ya tovuti za nje ya mtandao wanazousishwa na au inatazamwa kutoka katika mtandao wa SSRA.  SSRA haitatoa habari, maudhui, mada, au usahihi wala ufanya dhamana yoyote, kutoa maelezo , kuhusu tovuti hizi za nje. Watumiaji wanapaswa kufahamu kwamba wakati wao kuchagua viunganishi nje ya mtandao wa SSRA basi watakuwa nje ya tovuti ya SSRA

Go to top