Meneja Uwekezaji

Meneja uwekezaji ni kampuni inayojihusisha na kazi zifuatazo;

 • Kusimamia mikataba au mipango mingine, usimamizi wa fedha na mali nyingine ya Mfuko kwa ajili ya uwekezaji;
 • Kutoa huduma ya ushauri kwa ajiri uwekezaji wa mfuko
 • Kutoa au kusambaza taarifa zinazohusiana na mali zilizopo kwa ajili ya uwekezaji wa Mfuko

Wafuatao ni mameneja uwekezaji wa Mifuko waliosajiliwa mpaka Juni 2015

 • Core Securities Limited
 • Zan security Limited
 • African Life Assurance (T) Ltd
 • Exim Advisory Services Ltd
 • Tsl investment Management Ltd
 • Orbit Securities Co Ltd
 • Optma Corporate Finance Limited
 • M Investment Partners Limited
 • Arch Financial & Investment Advisory Ltd
 • Stanlib Tanzania Limited
 • Vertex International Securities Limited
 • Enterprises Growth Market Advisors Ltd
 • E.A Capital Ltd
 • UTT- AMIS Public Company Ltd