Mtunzaji wa Mfuko ni kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria  na kuteuliwa na Mfuko kwa lengo la kutunza nyaraka za mali za mfuko, kutoa mahesabu ya uwekezaji wa fedha za mfuko, kupokea michango ya mwanachama kwa niaba ya Mfuko, kupokea mapato mengine yeyote yanayohusiana na uwekezaji wa mfuko pamoja na majukumu mengine yanayotambulika kisheria.

Watunzaji wa Mifuko waliosajiliwa mpaka sasa na Mamlaka ni;

  1. CRDB Bank Plc
  2.  Stanbic Bank Ltd
  3. Standard Chartered Bank Ltd
  4. African Banking Corporation Tanzania Ltd
  5. KCB Bank (T) Ltd
  6. Azania Bank Ltd
  7. NMB Bank Plc
Go to top