Ni kampuni au taasisi iliyoanzanishwa kwa mujibu wa sheria na iliyoteuliwa na Bodi ya Wadhamini kuendesha shughuli za utawala katika Mfuko kulingana na vigezo vilivyo ainishwa katika mkataba au makubaliano.

Pamoja na hayo kazi zingine za watawala ni;

  • Kufanya shughuli za kiutawala za kila siku za mfuko kulingana na vigezo vilivyo ainishwa katika mkataba au makubaliano;
  • Kutoa ushauri na mafunzo kwa wadhamini na wanachama juu ya haki na wajibu wao kwenye Mfuko;
  • Kuwasilisha  mrejesho  na taarifa zinazotakiwa kisheria kwa Mamlaka;
  • Kukusanya na kulipa mafao kwa wanachama na wategemezi wao kama ilivyoinishwa kwenye sheria na kanuni za mifuko.

Watawala waliosajiliwa na Mamlaka ni;

  1. PPF Pension Fund
  2. Jubilee Life Insurance Corporation of Tanzania Ltd
  3. GEPF Retirement Benefits Fund
Go to top