Meneja uwekezaji ni kampuni inayojihusisha na kazi za kusimamia mikataba, fedha na mali nyingine za Mfuko kwaajili ya uwekezaji; kutoa huduma ya ushauri kwaajili ya uwekezaji wa mfuko; pamoja na kutoa au kusambaza taarifa zinazohusiana na mali zilizopo kwa ajili ya uwekezaji wa Mfuko.

Wafuatao ni mameneja uwekezaji wa Mifuko waliosajiliwa na Mamlaka;

 1. Core Securities Ltd
 2. Zan Security Ltd
 3. African Life Assurance (T) Ltd
 4. TSL Investment Management Ltd
 5. Orbit Securities Co Ltd
 6. Optma Corporate Finance Ltd
 7. M Investment Partners Ltd
 8. Arch Financial & Investment Advisory Ltd
 9. Vertex International Securities Ltd
 10. A Capital Ltd
 11. UTT- AMIS Public Company Ltd
 12. Cornerstone Partners Ltd
 13. Solomon Stockbrokers Ltd
 14. Watumishi Housing Company Ltd
 15. Fimco Ltd
Go to top