Tunakusogeza huduma karibu, wasilisha malalamiko kutipia programu ya simu.
Tunakusogeza huduma karibu, wasilisha malalamiko kutipia programu ya simu.

Onorius John Njole
Kaimu Mkurugenzi Mkuu
Habari Mpya
Vyama vya Wafanyakazi vyaridhiswa na ushirikishwaji katika zoezi la kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii
October 4, 2018

“Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Katika zoezi hili la kuunganisha mifuko sisi vyama vya wafanyakazi tumeshirikishwa kwa kiwango kikubwa sana, tumeshirikishwa kuanzia hatua za maoni mpaka kwenye vikao vya maamuzi hivyo matokeo ya kuunganishwa kwa mifuko ni juhudi zetu sisi sote kama vyama vya wafanyakazi, vyama vya waajiri na serikali kwa pamoja” hii ni […]

[…]
SSRA yatoa Elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa Baraza la Wazee Taifa
October 4, 2018

Wazee kutoka sehemu mbalimbali nchini kupitia Baraza lao la Taifa wameiomba Serikali na wadau wanaohusika kuharakisha mchakato wa upatikanaji wa pensheni Jamii kwa wazee ili kukabiriana na changamoto ya umaskini wa kipato unawakabiri wazee walio wengi nchini. Maombi hayo yamewasilishwa wakati wa Semina ya Hifadhi ya Jamii iliyoendeshwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya […]

[…]
SSRA yawaelimisha Waajiri kuhusu mabadiliko ya Sekta za Hifadhi ya Jamii
October 4, 2018

Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imekutana na waajiri nchini kwa lengo la kuwaelimisha kuhusu mabadiliko ya sheria za Hifadhi ya Jamii. Semina hiyo iliyoandaliwa na SSRA kwa kushirikiana na Jumuiya ya Waajiri nchini (ATE) ilifanyika tarehe 03/10/2018 katika ukumbi wa mikutano wa Sea Cliff, jijini Dar es Salaam na kushirikisha […]

[…]


Tovuti Muhimu