Karibu Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii - SSRA

Tovuti hii hutoa habari za Sekta ya Hifadhi ya Jamii nchini Tanzania. SSRA ina jukumu la kulinda na kutetea haki na maslahi ya wanachama wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii, SSRA inasajili Mifuko ya Pensheni, Mifuko ya Hiari ya Pensheni, Meneja Uwekezaji, Watunzaji wa Mifuko na Watawala).

Ni fanye nini Kusajili?

Jinsi ya kusajili Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

MASHARTI:

  1. Andika barua ya maombi na tafadhali ambatisha nakala za vitu vifuatavyo
  1. Mamlaka au Sheria inayoanzisha mfuko mf. Sheria ya Bunge
  2. Hati ya dhamana

            (iii)       Ripoti ya ukaguzi wa mahesabu ya hivi karibuni.

How to Register?

How to register a Social Security Scheme

REQUIREMENTS:

  1. Write a covering letter and please attach copies of the following:
  1. Instrument of Establishment e.g Act of Parliament.
  2. Certificate of incorporation of the trust corporation

            (iii)       Latest audited report and accounts of the trust corporation.

Meneja Uwekezaji

Meneja uwekezaji ni kampuni inayojihusisha na kazi ya Kusimamia mikataba, mipango, usimamizi wa fedha na mali nyingine ya Mfuko kwa ajili ya uwekezaji;

Mifuko ya Bima ya Afya

Kwa nia njema ya  kuhakikisha huduma za afya bora na nafuu kwa wafanyakazi wa umma, mashirika binafsi na makundi mengine...

Mifuko ya Hiari ya Pensheni

Mifuko ya hiari(Supplementary Scheme) ilianzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii, Sura ya 135 (Toleo la 2015), lengo likiwa ni...

Mifuko ya Pensheni

Hifadhi ya Jamii ni mfumo ambao jamii husika ujiwekea kwa lengo la kujikinga dhidi ya majanga yasiyotarajiwa.

Watawala

Ni Mtu/Kampuni iliyo/alieteuliwa na Bodi ya wadhamini kuendesha shughuli za utawala kwenye Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kulingana na vigezo...

Watunzaji wa Mifuko ya Pensheni

Mtunzaji katika mifuko wa pensheni ni kampuni ilisajiliwa kisheria ambayo wameajiriwa kwa lengo la kutunza mali ya mifuko ya pensheni...